WAZIRI GWAJIMA ASEMA MATUMIZI SAHIHI YA TAKWIMU BADO CHANGAMOTO SEKTA YA AFYA

Na Barnabas Kisengi,Dodoma  Waziri wa Afya Mendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto DKt  Dorothy Gwajima amesema kuwa matumizi ya takwimu zenye ubora katika ngazi za chini ili kuweza kufanya maamuzi ya kisayansi bado ni changamoto katika halmashauri nchini jambo ambalo linarudisha nyuma Sekta ya Afya. Akizungumza  kwenye madhimisho ya siku ya Epidemiology Duniani  leo jijini Dooma katika